domingo, 12 de agosto de 2012

Kwa amani ulimwenguni ...

Jina langu Ola na ni mwalimu. Ninafundisha shule ya msingi.
 
Mimi ni mwalimu, kwa sababu ninapenda sana kusoma, na niwafanye watoto wavumbue furaha kubwa aipatayo mtu anaposoma.
 
Nilisema kwamba ninapenda kusoma, na ninapenda kabisa kujifunza lugha.
 
Ninafikiri kwamba mtu asomaye lugha kwa usahihi pia anaweza kujifunza vitu vingi vya ulimwenguni na kutoka kwa watu wengine ulimwenguni.
 
Mtu huyu anajua, kwamba anavyofikiri na kuona ulimwengu wangu lakini ni njia moja miongoni mwa njia nyingi tofauti.
 
Kujua na kukumbuka hili ni muhimu sana kwa amani ulimwenguni.